kufuatia mwendelezo wa maoni juu ya katiba mpya ulioendelea tena asubuhi ya leo katika shehia ya kilima hewa wananchi waliopata fursa ya kutoa maoni yao ni kama hivi ifuatavo.
Waliotaka mfumo huu uliopo wa muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika uendelee kama ulivo ni 53
Na kwa upande wawananchi waliotoa maoni yao na kutaka Zanzibar huru na yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa ikifuatiwa na muungano wa mkataba ni 71.
Sunday, December 16, 2012
MATOKEA YA MAONI JUU YA KATIBA MPYA KATIKA SHEHIA YA KILIMA HEWA ASUBUHI YA LEO.
1:34 AM
Hamed Mazrui
No comments
0 comments:
Post a Comment