Friday, December 14, 2012

MATOKEO YA MAONI ASUBUHI YA LEO SHEHIA YA AMANI




Mwendelezo wa Maoni juu ya katiba mpya ulioendelea asubuhi ya leo huko katika shehia ya Amani  katika wilaya ya mjini Unguja na wananchi kupata fursa  ya kutoa maoni yao juu ya katiba mpya

Wananchi  waliotoa maoni yao na kutaka  Muungano huu uliopo kati ya Zanzibar na Tanganyika  uendelee kama ulivo ni 73.

 Na kwaupande wa wawananchi  waliotoa maoni yao na kutaka kuwepo Zanzibar huru  na yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa  ikifuatiwa na Muungano wa mkataba kati yake na Tanganyika ni 85

0 comments:

Post a Comment

 
Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital