Matokeo ya maoni asubuhi ya leo wananchi waliotaka Zanzibar huru ikifuatiwa na muungano wa mkataba kati yake na Tanganyika huko katika shehia ya Jangombe ni 35.
Na wananchi waliotaka mfumo huu wa muungano uliopo uendelee kama ulivo ni 95
Na wakati wa jioni tume hio ilihamia katika uwanja wa skuli ya kidongo chekundu huko wananchi waliotaka Zanzibar huru ikifuatiwa na muungano wa mkataba ni 46.
Na wananchi waliotaka mfumo huu uliopo wa muungano uendelee kama ulivo ni 87
0 comments:
Post a Comment