Sunday, November 25, 2012

Dk Shein atembelea kituo cha utafiti wa ufugaji wa samaki Vietnam


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Ufugaji wa samaki,chini ya Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dr.Phan Thi Van,(katikati) wakiwa katika mpicha ya pamoja baada ya kupata taarifa za Tafiti za ufugaji wa Samaki zilizotolewa na Mkurugenzi huyo,wakati wa ziara ya Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ulipotembelea katika Taasisi hiyo nchini Vietnam.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital