Wednesday, November 21, 2012

Jamii imetakiwa kujenga tabia ya kuvienzi na kuvipenda vituo mbali mbali ya kihistoria

Jamii imetakiwa kujenga tabia ya kuvienzi na kuvipenda vituo mbali mbali ya kihistoria kwa kuvitembelea pamoja na kuwajengea tabia kwa watoto wao kwa lengo kujifunza utamaduni wa kizanzibar.

mkuu wa jumba la makumbusho forodhani(beitul ajab) bw:Ramadhan Ali  amesema jamii haina budi kuwa na tabia mpya na kujenga tabia ya kuwapeleka watoto wao katika maeneo ya kihistoria badala ya kuwaachia kuzurura ovyo ama kujishirikisha katika mabo yasio na umuhimu.

amesema,katka sehemu za kuhistoria watoto pamoja na wazee wanaweza kujifunza mambo mengi yakiwemo kama historia za watawala walio pita,kupata elimu itakayo wajenge kua wazalendo wa chi yao pameja na kuijua  historia ya  misikiti mikongwe ilo jengwa  katika karne ya kumi na nane yote ambayo inapatika ndani ya zanzibar.

aidha amefahamisha kua vijana wengi wamekua na tabia mbaya kinyume na tamaduni za kizanzibar kwa kuacha kutembelea maeneo ya kihistoria ambayo kwa ujumla yanamjenga mtu kua muelewa wa tamaduni za kizanzibar.

sambamba na hayo amewataka wazazi na walezi kutilia mkazo suala la kuwapeleka watoto wao katika maeneo ya kihistoria kwa lengo la kuwapatia uzalendo wa nchi yao. kwa kuvitembelea pamoja na kuwajengea tabia kwa watoto wao kwa lengo kujifunza utamaduni wa kizanzibar.

mkuu wa jumba la makumbusho forodhani(beitul ajab) bw:Ramadhan Ali  amesema jamii haina budi kuwa na tabia mpya na kujenga tabia ya kuwapeleka watoto wao katika maeneo ya kihistoria badala ya kuwaachia kuzurura ovyo ama kujishirikisha katika mabo yasio na umuhimu.

amesema,katka sehemu za kuhistoria watoto pamoja na wazee wanaweza kujifunza mambo mengi yakiwemo kama historia za watawala walio pita,kupata elimu itakayo wajenge kua wazalendo wa chi yao pameja na kuijua  historia ya  misikiti mikongwe ilo jengwa  katika karne ya kumi na nane yote ambayo inapatika ndani ya zanzibar.

aidha amefahamisha kua vijana wengi wamekua na tabia mbaya kinyume na tamaduni za kizanzibar kwa kuacha kutembelea maeneo ya kihistoria ambayo kwa ujumla yanamjenga mtu kua muelewa wa tamaduni za kizanzibar.

sambamba na hayo amewataka wazazi na walezi kutilia mkazo suala la kuwapeleka watoto wao katika maeneo ya kihistoria kwa lengo la kuwapatia uzalendo wa nchi yao.

0 comments:

Post a Comment

Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital