Siku ya Alkhamisi Bwana Morsi alisema alichukua hatua hiyo kwa masilahi ya wananchi wote wa Misri, na majaji hawawezi kukaidi madaraka yake mepya.
Majaji katika mji wa Alexandria, kando ya bahari ya Mediterranean, wanasema wanagoma kuonesha mlalamiko yao.
Hapo jana kulifanywa maandamano makubwa sehemu mbali-mbali za nchi kupinga hatua ya rais.
Maandamano mengine yanapangwa kufanywa Jumamosi
NA BBC SWAHILI..


3:20 AM
Hamed Mazrui


0 comments:
Post a Comment