Friday, November 23, 2012

NA HAMED MAZROUY MAMA ADAIWA KUMUWA MWANAWE ALIEMZAA MWENYE UMRI WA SIKU NNE HUKO MIEMBENI ZANZIBAR.

MOJA MIONGONI MWA SABABU ZINAZOCHANGIA KUTOKWA NA IMANI KWA BAADHI YA WATU WAISHIO NJE YA ZANZI BAR NI KUKITHIRI KWA VITENDO VYA KIHALIFU AMBAVYO VINAIWEKA ZANZIBAR KATIKA MUONEKANO MMBAYA .

HAYO YAMEKUJA KUFATIA TUKIO LILOTOKEA LA KUUWAWA KWA MTOTO MWENYE UMRI WA SIKU NNE KATIKA MAENEO YA MIEMBENI JONZANI WILAYA YA MJINI UNGUJA MAJIRA YA SAA MOJA HADI SAA MBILI ASUBUHI.

TUKIO HILO LILIGUNDULIKANA KUTOKANA NA WAPANGAJI WALIOKUWA WANAOISHI KATIKA NYUMBA HIO BAADA YA KUSIKIA HARUFU KALI YA MZOGA IMESHAMIRI KUTOKA KATIKA CHOO CHA NYUMBA HIO.

MMOJA MIONGONI MWA WAPANGAJI HAO AMBAE HAKUPENDA KUTAJWA JINA LAKE AMESEMA KUWA MAMA WA MTOTO HUYO NI MPANGAJI MWENZAO NDANI YA NYUMBA HIO AMBAE ANAITWA MARYAM NA WAO KIPINDI CHOTE HICHO CHA UJAUZITO WAKE HAWAKUWAHI KUGUNDUIA KUWA MARYAMA NI MJA MZITO.

AIDHA ALIENDELEA KUELEZA IKIWA WAO WAMO KATIKA NYUMBA HIO WALISIKIA HARUFU KALI IKITOKA MAENEO YA CHOONI NDIO WAKAAMUWA KUFATILIA ILI WAJUE HARUFU HIO INATOKANA NA KITU GANI,PUNDE TU BAADA YA KUFATILIA WALIGUNDUA KUWA HARUFU HIO ILITOKANA NA MWILI WA BINADAMU ALIEKUFA KWA MUDA USIOPUNGUA SIKU NNE, SAMBAMBA NA HAYO AMESEMA KUWA WALICHUKUWA JITIHADA ZAKUWEZA KUJUA KUWA MTOTO HUYO NI WA NANI NDIPO WALIPOGUNDUWA KUWA NI WA MARYAM AMBAE NI MPANGAJI MWENZA,.
TUKIO HILO LILIGUNDULIKANA BAADA MARYAM KUTAKA KUKIMBIA BAADA YA KUFICHUKA KWA SIRI ALIOIFICHA LAKINI HAKUWEZA KUFANIKIWA KUTOKANA NA RAIA WEMA KUMZUIA.

KWAUPANDE WA ASKARI POLISI AMBAO HAWAKUPENDA KUDHIHIRISHWA MAJINA YAO WAMETHIBITISHA KUTOKEA KWA TUKIO HILO NA KUWATAKA WAPANGAJI WA NYUMBA HIO KUTOWA USHIRIKIANO WA KUTOSHA KWA KUUSITIRI MWILI WA MAREHEMU HUYO.

HIVYO KUTOKANA NA TUKIO HILO JESHI LAPOLISI LIMEAMUWA KUMCHUKUA MAMA ANAESADIKIWA KUWA NI WA MTOTO HUYO KWA AJILI YA KUTOA MAELEZO ZAIDI KUHUSU TUKIO HILO.
NA HAMED MAZROUY 

MAMA ADAIWA KUMUWA MWANAWE ALIEMZAA MWENYE UMRI WA SIKU NNE HUKO MIEMBENI ZANZIBAR.

1 comments:

Mansour said...

iyo camera yko inazingua na tarehe za ma2kio so kua makini na kazi yako

Post a Comment

Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital