Saturday, November 24, 2012

SAUTI YA KISONGE

Iweje watu hawa wasiwo na upeo hata kidogo
wakatae omoja na kushabikia utengano? hawaguswi
na hata ubinadamu yale yaliotokea mauaji na
mifarakano ya zaidi ya miaka 18 ya watu wa visiwa
hivi kiasi cha kutaka kuturejesha tena nyuma kwa
kupinga jitihada zilizofanywa na dr Karume na
wenzake kuleta hali hii ya sasa na kumfanyia vitimbi
kiasi hiki.
NA HAMED MAZROUY

ISEMAVO SAUTI YA KISONGE

0 comments:

Post a Comment

 
Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital