Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma akizungumza na waandishi wa habari leo katika Makao makuu ya ofisi hizo ambapo alizungumzia juu ya kuwepo kwa Mkutano wa siku mbili wakujadili juu ya namna ya kutumia namba moja ya simu kwenda namba nyingine.
Prof Nkoma amesema kuwa zoezi hilo likifanikiwa itamwezesha mteja kutumia namba moja tu na kuweza kuwasiliana na mitandao mingine.
Mkutano huo utafanyika siku yaTarehe 15 na 16 katika ukumbi wa mikutano Mlimani Citiy.jijini Dar es salaam

0 comments:
Post a Comment