Saturday, November 24, 2012

UDOM YA KUMBWA NA KASHFA YA NGON

Chuo kikuu cha Dodoma kinadaiwa kukumbwa na kashfa kubwa ya kuwepo kwa baadhi ya wanafunzi chuoni hapo anaofanya biashara ya ngono katika chuo hicho,licha ya chuo hicho kujilimbikizia sifa kadhaa za ufundishaji wa hali ya juu lakini chakuhangaza kwa sasa kumebainika kuwepo kwa vitendo hivyo ambavo ukweli sivitendo vizuri na vinavofaa kufanywa na baadhi ya wanafunzi hao.

Inadaiwa kwamba wananfunzi hao hufanya matendo hayo wakati wa usiku kutokana na kukabiliwa na uwezo wa kuyakimu maisha katika chuo hicho na ndio jambo linalowafanya wanajikute wanantenda matendo hayo mabaya kwa jamii.

Wameyasema haya wakati wa mahafali ya chuo hicho yaliofanyika huko dodoma Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital