Thursday, December 13, 2012

Kamati ya Baraza la Wawakilishi yatembelea Redio jamii Micheweni


 
WAMWANZO kushoto ni Kaimu Meneja wa radio Jamii  Micheweni (RJM) Pemba, Ali Massoud Kombo akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Mifugo, Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi, kuhusu kazi na changamoto za radio hiyo kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Asha Bakar Makame, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Habari Hindi Hamad Khamis wakati kamati hiyo ilipotembelea kituo hicho jana

0 comments:

Post a Comment

 
Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital