Thursday, December 6, 2012

Maoni juu ya katiba mpya shehia ya shangani

Mkurugenzi wa habari uenezi na mawasiliano ya umma wa cuf ,Salim Biman akitoa maoni yake juu ya katiba mpya.
Mkurugenzi wa habari uenezi na mawasiliano ya umma wa cuf ,Salim Biman akitoa maoni yake juu ya katiba mpya.
Wananchi waliotaka Zanzibar huru kitaifa na kimataifa ikifuatiwa na muungano wa mkataba ni 100.
Na waliotaka muungano huu uliopo uendelee bila ya kufanyiwa marekebisho ni 10

0 comments:

Post a Comment

Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital