Wednesday, December 12, 2012

SEKTA YA MAWSILIANO INA MCHANGO MKUBWA KATIKA MPANGO WA KUPUNGUZA UMASIKINI ZANZIBAR (MKUZA)

KATIBU MTENDAJI WA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR ND, CHANDE OMAR CHANDE
KATIBU MTENDAJI WA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR ND, CHANDE OMAR CHANDE

IWAPO ITATUMIKA IPASAVYO KATIKA MAWASILIANO.
HAYO YAMEELEZWA NA KATIBU MTENDAJI WA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR ND, CHANDE OMAR WAKATI AKIFUNGUA SEMINA YA SIKU MBILI JUU YA MKAKATI WA MAWASILIANO KATIKA MPANGO WA KUPUNGUZA UMASIKINI ZANZIBAR HUKO KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA BWAWA
NI.AMESEMA KUWA ELIMU INAHITAJIKA KUTOLEWA KWA WANANCHI KUJUA DIRA NA DHAMIRA YA SERIKALI KATIKA MPANGO HUO ILI KUWEZA KUFIKIA MAFANIKIO. ND, CHANDE AMESEMA JAMII INAHITAJI KUPEWA TAARIFA MBALI MBALI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI PAMOJA NA MITANDAO YA KIJAMII ILI KUPATA TAARIFA MUHIMU.
NAE KAMISHNA WA UKUZAJI UCHUMI KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI DK.RAHMA MAHFUDH AMETOA UFAFANUZI KUHUSU MKUZA II JUU YA KUTOKOMEZA UMASIKINI ZANZIBAR.
AKIZUNGUMZA KATIKA UFUNGUZI WA SEMINA HIYO KAMISHNA WA MAWASILIANO IKULU ND, HASSAN KHATIB AMESEMA KUWA KUKOSEKANA KWA UWELEWA WA MKUZA KWA WANANCHI NIJAMBO LINALO KWAMISHA JUHUDI ZA SERIKALI KUFIKIA MALENGO YAKE YA KUONDOSHA UMASIKINI.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by M.S Chopoti | Bloggerized by Ulimwengu Wa Digital