Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima amesema kuwa yeye binafsi anataka kuwepo kwa serikali mbili yaani ya Zanzibar na Tanzangiyika lakini kila mmoja iwe na mamlaka yake na Rais wa nchi zote mbili awe na mamlaka yake kikamilifu.
Ameyasema hayo wakati alipokuwa akitoa maoni yake juu ya katiba mpya huko katika viwanja vya Alabamna michenzani mjini unguja. aidha amehimiza kuwa ni vyema kuendeleza kwa umoja uliopo kwa wazanzibar wote kwa lengo la kudumisha amani nchini kwetu.
0 comments:
Post a Comment